Msaada laptop imeharibika kioo

wete

Member
Nov 16, 2012
85
58
Heshima kwenu wadau,naomben msaada laptop yangu nimewapa vijana wafanyie mazoez kwa ajili ya kujifunza,kilichotokea nilitaka kuitumia nilivoiwasha ikawaka lakin ikadsplay rangi ya zambarau inaonesha na mistari kwene kioo!.nikiuliza wananambia waliiwasha ikawaka ivyo,sijajua kama tatizo ni kioo nimejaribu kuweka pc kwa kuumia kasim kangu sijui kama zitaonekana. Ni ACER ASPIRE 3050
Naomba kuwasilisha.
 
nenda kkoo kama upo dar kwenye maduka ya wauza computer hasa maeneo ya barabara ya uhuru ndio yapo mengi..
 
Back
Top Bottom