Inawezekana ni mitandao mkuu ata mimi nina tatizo la tablet yangu haikamatii wireless,na nina router, pia ata laptop yangu imegoma hivyo hivyo. haikamati wireless. Nikiweka modem ya voda haina network, Nikiweka tigo hivyo hivyo, Mpaka sasa natumia modem ya airtel na line ya airtel. router namodem ya voda nimeziweka pembeni mpaka mambo yatakapokaa sawa