MSAADA KWNY PLAY STORE YA Galaxy S Duos ANDROID 4.0.1

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
317
Reaction score
33
nina Galaxy Duos GT S 7562 ina 3G

ila play store inahtaj Wi-Fi ndo ifungue,

pia WhatsApp inagoma kudownload

naomba suluhu la haya matatizo
 
nina Galaxy Duos GT S 7562 ina 3G

ila play store inahtaj Wi-Fi ndo ifungue,

pia WhatsApp inagoma kudownload

naomba suluhu la haya matatizo

Nenda kwenye setting kisha switch ON data connection itakubali..

Usisahau kurudi na shukrani hapa
 
Nenda kwenye setting kisha switch ON data connection itakubali..

Usisahau kurudi na shukrani hapa

data conectn ipo On,
browsing nafanya kamakawaida kwa Opera,instagram ziko vzr ila Youtube na play store znagoma(conection timed out). hata kudownld app hadi niwe kwny wireless ndio inafunguka
 
Mtandao zi mzuri probably, badili kampuni ya simu au jaribu eneo lenye data vizuri.
 
tafuta Tecno phone mkuu lol!

Hiyo simu anyoizungumzia unaijuwa! Au unakurupuka tu? Tecno pamoja na kujitahidi lakini bado huyo ni mchina tu! Hajakuwa na ubora unaotakiwa katika utendaji wake.
 
Nimefanikiwa kusolv kwa kubadili eneo nilipokua. Ahsantte jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…