"CommView for WiFi" ni kwa ajili ya kucapture packets....then baada ya hapo unafanya decryption ya hzo packets kwa kutumia aircrack ng(kumbuka kuupdate driver husika kama itakutaka kuupdate)...
Linux ni bure kabisa nenda kwenye website yao download .. google ubuntu au linux mint ndo nazijua na kuzikubali .. inachukua maxmum kama gb 1 hivi au pungufu kama windows xp vile .. au ntafte nipo msasani