Kiasi cha gharama inategemea na programme utakayo pangiwa, kwa wale watakaopata asilimia mia watakopeshwa kiasi chote kinachotakiwa na chuo, but kwa wale watakaopata less than 100% i mean 90%, 80% and so on watachangia the remaining percentage katika school fee, also accomodation na hela ya matumizi wote wenye vigezo wanapata 100%.