Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
- Thread starter
-
- #21
Mjinga sana wewe dogo unashindwa kuwa makini na mambo muhimu yanayo kuhusu kama hayo...wakupigwa makofi kabisa wewe
umakini upo mkuu mbona niliweza kufaul mtihan, sema imetokea kwa bahat mbaya tu
Mr. Mangi, usipotoshe...DUCE ilikuwepo tokea jana waliporealese net hadi kufikia saa 4 asubu leo. ila kwa sasa imejaaMbona ktk list ya vyuo vyenye nafasi duce haipo ila mwaka huu competition ilikuwa kubwa mno mfano education ud walijaza watu zaidi ya 2800 na capacity haifiki 1200
Wakuu nimefanya second round kwa bahati mbaya nikachagua chuo ambacho sio sahii; nawezaje kubadilisha ili nichague chuo kingine?
najaribu kufungua CAS inakua problem kufunguka ,nini tatizo? na itakaa poa mda ganMr. Mangi, usipotoshe...DUCE ilikuwepo tokea jana waliporealese net hadi kufikia saa 4 asubu leo. ila kwa sasa imejaa
Labda usubirie transfer mkuu nadhani watatoa muda hapo baadae baada ya selection za vyuo kutoka pole sana mkuu
Ebu jaribu hiyo option ya ku remove selection
option ya ku-remove siion mkuu
jaribu option ya remove selection kuna jamaa yake inampeleka hadi sehemu ya ku remove selection,i think uki proceed utafankwaKwel kaka najua jinsi gani inaumiza moyo mana mwenyewe last year nilitemwa kwny first round .ni sheeda yan
option ya ku-remove siion mkuu
option ya ku-remove siion mkuu
asante mkuujaribu option ya remove selection kuna jamaa yake inampeleka hadi sehemu ya ku remove selection,i think uki proceed utafankwa
asante mkuu