T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 5,874 Reaction score 10,371 Apr 6, 2025 #21 Kwa kijumbe una madeni,pono mpaka vpn,mungu kakunyima suraaa,kakupa komwe hauna churaaaa YATAPITA TU~MISO MISSONDO
Kwa kijumbe una madeni,pono mpaka vpn,mungu kakunyima suraaa,kakupa komwe hauna churaaaa YATAPITA TU~MISO MISSONDO
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,255 Reaction score 28,414 Apr 6, 2025 #22 oby7 said: Madaktari msaada tafadhal, Nini shida hapa na Nitumie dawa Gani maana Nisha chomwa injection kama gentamicin na penadol lkn Bado Ngoma ngumu,. Click to expand... Daktari unayemtaka hayupo, nenda hospitali inayoeleweka wakufanyie vipimo sahihi siyo zile za Arafa.
oby7 said: Madaktari msaada tafadhal, Nini shida hapa na Nitumie dawa Gani maana Nisha chomwa injection kama gentamicin na penadol lkn Bado Ngoma ngumu,. Click to expand... Daktari unayemtaka hayupo, nenda hospitali inayoeleweka wakufanyie vipimo sahihi siyo zile za Arafa.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,255 Reaction score 28,414 Apr 6, 2025 #23 Dr Matola PhD said: GENTAMYCINE mwenyewe kwani anasemaje? Click to expand... Hili lilikwisha eksipaya miaka ya sabini wakati wa Penibritani.
Dr Matola PhD said: GENTAMYCINE mwenyewe kwani anasemaje? Click to expand... Hili lilikwisha eksipaya miaka ya sabini wakati wa Penibritani.
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,796 Reaction score 25,574 Apr 6, 2025 #24 Mambo yenyewe ndiyo haya,maradhi kila kona kaka zenu tukiwaambia oweni mnatuona sisi hatuna akili! Jamiiforums hata kama madktari wapo hata kama wanajua dawa ya kukusaidia watakushauri vipi wakati hujafanyiwa vipimo?nenda hospital.
Mambo yenyewe ndiyo haya,maradhi kila kona kaka zenu tukiwaambia oweni mnatuona sisi hatuna akili! Jamiiforums hata kama madktari wapo hata kama wanajua dawa ya kukusaidia watakushauri vipi wakati hujafanyiwa vipimo?nenda hospital.
Lwiva JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 21,117 Reaction score 29,672 Apr 6, 2025 #25 miviga said: umekula kula kavu sasa deal na utonvu Click to expand... Umepatia👏
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,796 Reaction score 25,574 Apr 6, 2025 #26 miviga said: umekula kula kavu sasa deal na utonvu Click to expand... Vijana wa kileo ni wakuwasikitikia. Wanafanya ngono huku hawajui hata namna ya kujikinga na wakigumia maradhi hela za kujitibu hawana wanaishia kwenye viji-dispensary uchwara huko mitaani kama alivyofanya huyu.
miviga said: umekula kula kavu sasa deal na utonvu Click to expand... Vijana wa kileo ni wakuwasikitikia. Wanafanya ngono huku hawajui hata namna ya kujikinga na wakigumia maradhi hela za kujitibu hawana wanaishia kwenye viji-dispensary uchwara huko mitaani kama alivyofanya huyu.
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 5,679 Reaction score 7,327 Apr 6, 2025 #27 oby7 said: Madaktari msaada tafadhal, Nini shida hapa na Nitumie dawa Gani maana Nisha chomwa injection kama gentamicin na penadol lkn Bado Ngoma ngumu,. Click to expand... hiyo ni gono,nenda hosp usitumie dawa hovyohovyo
oby7 said: Madaktari msaada tafadhal, Nini shida hapa na Nitumie dawa Gani maana Nisha chomwa injection kama gentamicin na penadol lkn Bado Ngoma ngumu,. Click to expand... hiyo ni gono,nenda hosp usitumie dawa hovyohovyo
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 7,796 Reaction score 25,574 Apr 6, 2025 #28 Kifulu said: Sihangaiki na vidonda mm Click to expand... Naona mdau umesahau sifa moja wapo ya mashoga ni kuwa calm,yaani utakasirika wewe lakini lenyewe linakuja bado limepoa. Uwage unawapuuza tu hawa.
Kifulu said: Sihangaiki na vidonda mm Click to expand... Naona mdau umesahau sifa moja wapo ya mashoga ni kuwa calm,yaani utakasirika wewe lakini lenyewe linakuja bado limepoa. Uwage unawapuuza tu hawa.
Mr Beach Boy JF-Expert Member Joined Apr 15, 2021 Posts 1,705 Reaction score 5,125 Apr 6, 2025 #29 The Worst said: Naona mdau umesahau sifa moja wapo ya mashoga ni kuwa calm,yaani utakasirika wewe lakini lenyewe linakuja bado limepoa. Uwage unawapuuza tu hawa. Click to expand... 😂 Ndio umenifungua akili mkuu ahsante sana
The Worst said: Naona mdau umesahau sifa moja wapo ya mashoga ni kuwa calm,yaani utakasirika wewe lakini lenyewe linakuja bado limepoa. Uwage unawapuuza tu hawa. Click to expand... 😂 Ndio umenifungua akili mkuu ahsante sana
M Mwamposa1 JF-Expert Member Joined Mar 21, 2025 Posts 576 Reaction score 760 Apr 6, 2025 #30 Kifulu said: Pumbavu kabisa ndio akili Yako na WATOTO wako watakuwa kama wew Kwanzaa sikujibu tena ntapoteza muda wangu. Maza faka Click to expand... Unaminyana na shoga!
Kifulu said: Pumbavu kabisa ndio akili Yako na WATOTO wako watakuwa kama wew Kwanzaa sikujibu tena ntapoteza muda wangu. Maza faka Click to expand... Unaminyana na shoga!
Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 4,994 Reaction score 8,657 Apr 6, 2025 #31 The Worst said: Mambo yenyewe ndiyo haya,maradhi kila kona kaka zenu tukiwaambia oweni mnatuona sisi hatuna akili! Jamiiforums hata kama madktari wapo hata kama wanajua dawa ya kukusaidia watakushauri vipi wakati hujafanyiwa vipimo?nenda hospital. Click to expand... Magonjwa mengine ni uchafu tu wa kuzama kila shimo ...Watu wengine damu zao chafu sana ila bado mtu anataka kuzama kila shimo.
The Worst said: Mambo yenyewe ndiyo haya,maradhi kila kona kaka zenu tukiwaambia oweni mnatuona sisi hatuna akili! Jamiiforums hata kama madktari wapo hata kama wanajua dawa ya kukusaidia watakushauri vipi wakati hujafanyiwa vipimo?nenda hospital. Click to expand... Magonjwa mengine ni uchafu tu wa kuzama kila shimo ...Watu wengine damu zao chafu sana ila bado mtu anataka kuzama kila shimo.
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 6,978 Reaction score 10,369 Apr 6, 2025 #32 Hapo nahisi mpk sindano ya ng'ombe ndo utapona
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,023 Reaction score 126,443 Apr 6, 2025 #33 Dr Matola PhD said: GENTAMYCINE mwenyewe kwani anasemaje? Click to expand... Bawasir yako bado inakusumbua?
Dr Matola PhD said: GENTAMYCINE mwenyewe kwani anasemaje? Click to expand... Bawasir yako bado inakusumbua?