Winrar mkuu! Apa nko kwa 4ne so siwez kupa detail zaidi lakini winrar unaweza fanikisha hii. Kwa mfano namatumaini ushakumbana wakat mwengine unadownload software unakuta iko merged into many rar parts na unapaswa kuzidownload zote ili uweze kuiextract yote sasa. Just nenda katiko iyo iso file ni game so nadhan itakuwa ni iso file. Nd lazma uwe ushainstall winrar. Then rite click it alaf nenda kwenye option ya add to archieve then itafunguka winrar na options za kuimake iyo file insafi
safi san mkuu. asante