unashingapi!wakuu! habari zenu!
mimi ni kijana ambae napenda sana kuwa na kampuni ambayo itajihusisha na masuala ya kilimo.
Ningependa kujua, napaswa kuwa na nini ili nianzishe kampuni na pia nianzie wapi!
nimekuwa nikitaka kuandika proposal juu ya vitu mbalimbali lakin wanaomba niwe na operating Bussiness organization.
Akhsanten wakuu!!
nina bussnes Idea,mkuu sina capital bado !!unashingapi!
vip kuhusu BRELA mkuu nao wanataka pesa?Kuna madau humu Jf anaweza kusaidia kufungua makampuni.
Hapa lazima ukubali kwamba Taalum inatakiw akutumika,sio kirahisi saana kama unavyofikiria mkuu.
Ukiwa na pesa tu mwezi haufiki kila kitu utapata,Google humu JF utaona huyo Jamaa atakusaidia.Ila kwama ni bure basi ju utakesha
Mkuu Hashpower7113 salute kwako mkuu!Anzia TRA kachukue TIN Number (ni bure), baada ya hapo utaandika mchanganuo kuhusu kampuni ie utakuwa unashughulika na nini, uongozi wa kampuni utakuwaje, shareholders na kadhalika, baada ya hapo nenda Brela, makao makuu ni pale Ushirika House, Mnazi Mmoja, utapewa taratibu nyingine lakini malipo kwa kampuni ya kawaida kusajili ni around laki tatu kwa sasa. Pia kuna namna ya kujisaliji online, ingia kwenye website ya Brela utapata maelezo zaidi. gonga hapa BRELA
TRA TIN NUMBER awatoi bure kama watu wanavyofikilia mpaka uwe na lengo la kufungua biashara ndio unapata iyo TIN number. Sasa kufungua biashara mpaka wakufanyie makadirio ya biashara yako. Ambapo apo ndio Kuna changamoto ujaanza biashara lakini unatakiwa ulipe kwanza kodi na ujajua kama iyo biashara italipa kwa sehemu husika.Anzia TRA kachukue TIN Number (ni bure), baada ya hapo utaandika mchanganuo kuhusu kampuni ie utakuwa unashughulika na nini, uongozi wa kampuni utakuwaje, shareholders na kadhalika, baada ya hapo nenda Brela, makao makuu ni pale Ushirika House, Mnazi Mmoja, utapewa taratibu nyingine lakini malipo kwa kampuni ya kawaida kusajili ni around laki tatu kwa sasa. Pia kuna namna ya kujisaliji online, ingia kwenye website ya Brela utapata maelezo zaidi. gonga hapa BRELA
Acha kumdanganya aisee, last month nmetoka kufungua company mpya ya technology ! Stage ya kwanza ni BRELA pale utahitaji kutafuta jina online ukimaliza na wakaikubali unalipia 50,000 then unaanza kuandaa memorandum and article of association then hapo gharama itategemea na aina ya kampuni unayotaka na thamani ya kampuni (capital) kwa kampuni ya shareholder na capital ndogo kabisa ya <=1,000,000 kila kitu itakugharimu 250,000 hivi hapo gharama ya memorandum excluded ambayo mara nyingi huwa ni kuanzia 300,000-500,000.Anzia TRA kachukue TIN Number (ni bure), baada ya hapo utaandika mchanganuo kuhusu kampuni ie utakuwa unashughulika na nini, uongozi wa kampuni utakuwaje, shareholders na kadhalika, baada ya hapo nenda Brela, makao makuu ni pale Ushirika House, Mnazi Mmoja, utapewa taratibu nyingine lakini malipo kwa kampuni ya kawaida kusajili ni around laki tatu kwa sasa. Pia kuna namna ya kujisaliji online, ingia kwenye website ya Brela utapata maelezo zaidi. gonga hapa BRELA
Nimejifunza zaidi ya nilivyokuwa najua, thnx mkuuKufungua kampuni
NJIA YA KWANZA
1.Chagua jina la kampuni yako
.2.Cheki BRELA online kama hilo jina limeshachukuliwa na mtu mwingine. Kama bado lipia 50,000 kusajili hilo jina.
3. Andaa memorandum of association
4. Andaa articles of association
5. Jaza form Na. 14a
6.Jaza form namba 14b.
7. Peleka hizo documents kwa kamishna wa viapo (wakili au hakimu yeyote akusainie)
8. Nenda BRELA kalipie ada ya usajili ( ada ya usajili hutofautiana kulingana na mtaji wa kampuni yako(share capital) ulio-declare
NJIA YA PILI; Lipa Mwanasheria akufanyie hiyo kazi yote.
Acha kumdanganya aisee, last month nmetoka kufungua company mpya ya technology ! Stage ya kwanza ni BRELA pale utahitaji kutafuta jina online ukimaliza na wakaikubali unalipia 50,000 ...