Habari wakuu,ninahitaji msaada wenu ninatumia Tab ya kichina line mbili inasumbua hasa ninapotaka kupata ama kujua salio inaniletea maandishi mengi yasio eleweka,hivyo inaniwia vigumu kupata internet kwa mitandao ya kawaida zaidi ya wi fi ama hotspot
Maandishi yanayoleta ni haya:-