muvika online
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 374
- 283
Mkuu nimetafuta sana ila sijaona ya Tecno c9unatakiwa kubypass FRP tafuta tutorials hata youtube itaondoka tu
simjui Ndugu maana tulikutana tuMtafute aliekuuzia umwombe email ya google aliyoiweka kwenye hiyo cm
asante
upo wapi nikutoleee...Wadau Nina Simu Yangu ya Tecno C9 sasa Leo Nimeifanyia Factor Reset Baada ya Kumaliza Nikaiwasha, sasa Kwabahati Mbaya Inaniomba Email Iliyokuwepo na Mimi Sihikumbuki Kwani Simu Nilinunua Njiani Tu Kwa Mtu, Msaada Tafadhali Nafanyeje Hapo.
cc Chief-Mkwawa
Nimejari mpaka Mwisho ila hilo neno "TYpe Email And Password" Silioni Mengine yote Nayaonauaisearch neno tecno youtube waafrika hatuna utamaduni huo,
andika tu bypass frp uone njia tofauti tofauti
mfano unaweza jaribu hii
How to Unlock/Bypass FRP for any Andoid AOSP Phone
mwanzaupo wapi nikutoleee...
HaikubaliWeka email yoyote ndugu
blame no body