Msaada kwenye simu ya tecno w2

Msaada kwenye simu ya tecno w2

Msemaji_

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
611
Reaction score
840
jamni nimenunua simu mpya ya tecno w2 but haisomi laini moja ila hiyo laini nikiiweka kwenye simu ndogo ya batani inasoma vizur , naombeni msaada ndugu zangu katika hili
 
Hapo n setting tu kweny upande wa sim card, huenda sim card ambayo haisomi imezimwa
 
Kwenye mobile network weka Auto WCDMA au GSM only, yaweza kua apo ulipo hakuna mtandao wa 3G.... Au kwenye setting jaribu kureset mobile network ya mtandao ambao hausomi....
 
Inategemea hiyo line unataka kuiweka namba iwe line 1 au line 2...ibadilishe usikariri ikae hapohapo
 
Kwenye mobile network weka Auto WCDMA au GSM only, yaweza kua apo ulipo hakuna mtandao wa 3G.... Au kwenye setting jaribu kureset mobile network ya mtandao ambao hausomi....
ngoja nijalibu mkuu ila 3G ipo hapa but ngoja nijaribu hizo njia zingine
 
jamni nimenunua simu mpya ya tecno w2 but haisomi laini moja ila hiyo laini nikiiweka kwenye simu ndogo ya batani inasoma vizur , naombeni msaada ndugu zangu katika hili
Hiyo simu ni ya kampuni ya simu fulani nn mdau!? Kama ndo inaweza kuwa ndo shida ila kama si ya kampuni.. Jaribu kwenda kwenye settings then uangalie kwenye sim management, hapo jitahidi iwe dual sim.. Nahis tatizo linaweza kuwa limeisha...
 
mbna hiyo simu card nikiiweka kwenye simu nyingine inasoma
Nazungumzia kweny cm kweny cm husika hiyo ambayo ukiweka haisomi,sijakataa kama ukiwek cm nyingn lain inasoma,hyo cm husika upande wa lain ambayo haisomi umezimwa,
 
Cheki flight mode
Karibu kweny jukwaa pendwa la tech. Humu ni tofauti na forum zingine na unapochangia angalia uzi ulitolewa lini. Unaweza kutoa suluhu kumbe uzi wa mwaka 2012 au mtu kaandikiwa R.I.P
Huu uzi ni wa muda kidogo mr kwahiyo uwe makini.
(Nimekutonya tu na hii comment hawawezi kuiona watu wengine kwahiyo usipanic. Tunajuzana palipo na shida)
Karibu sana JF
 
Karubu sana JF
Hahaha safi sana mkuu hakika umemtoa unjuka.
 
Back
Top Bottom