Simu aina ya Motorola, model ni moto X, pia kuna lg model lg-p505, mtandao hajaniambia ni mtandao gn alikuwa akitumia.Simu gani, Model gani, marekani ilikua inatumia mtandao gan
Daaa hizo lock zinatoka ila sio cha bure kaka, Mimi nimeagiza falcon box ilaado haijafika solution Ni moja tu, Niambie upo wapi ili nikunganishe na fundi ninaemuamin aliepo mji huo.Simu aina ya Motorola, model ni moto X, pia kuna lg model lg-p505, mtandao hajaniambia ni mtandao gn alikuwa akitumia.
Wadau nimeletewa simu na ndugu yangu kutoka marekani kwa trump, sasa cha kushangaza haisomi sim card za hapa kwetu, naombeni msaada jaman ktk hlo nafanyaje?
Nenda Halotel wakupe SIM card nyingine, inawezekana ndio tatizohabari ndugu zangu tafadhali naitaji msaada simu yangu aisomi sim card ya Halotel ila zingine zinasoma vizuri tatizo ni mini wakuu.?