habari zenu wakuu, tatizo limetokea kwenye pc. nikiingiza password.unakuja ujumbe huu " THE USER PROFILE SERVICE FAILED THE LOGON. USER PROFILE CANNOT BE LOADED" nisaidien ndugu zangu.natanguliza shukrani
Ikirudia tatizo, tumia profile ya mtu mwingine uone ikikubali basi hiyo inayogoma imecorrupt. Copy data zake then delete hiyo profile then add upya then restore data.