Msaada kwenye hii Course

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
189
Reaction score
84
Habari zenu wana jamvi, natumaini wote mu wazima.

Je, Kwa mtu aliyesoma Certificate in Record Management Degree anaenda kusoma Course gani?

(Nimejaribu kutafuta sijaona Bachelor in Records Management)
 
Mi ninavyojua degree yake utasoma,yani..bachelor of public administration and record archives management.
 
Habari zenu wana jamvi, natumaini wote mu wazima.

Je, Kwa mtu aliyesoma Certificate in Record Management Degree anaenda kusoma Course gani?

(Nimejaribu kutafuta sijaona Bachelor in Records Management)
Anaweza kusoma kozi yeyote isipokua MD na engineering na baadhi ya kozi za sayansi.

Ila sikushauri ukaisome hiyo kozi kwa level ya bachelor.
 
Habari zenu wana jamvi, natumaini wote mu wazima.

Je, Kwa mtu aliyesoma Certificate in Record Management Degree anaenda kusoma Course gani?

(Nimejaribu kutafuta sijaona Bachelor in Records Management)
Unaweza kwnd kusoma bachelor yake ya record management ipo SUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…