Kwenye componse, unaandika email address ya mtu unayemtumia, chini yake unaandika kichwa cha habari (title of your email) baada tu ya hiyo sehemu ya kuandika title, then hapo chini kuna option ya kuattach file, click hiyo sehemu/option then utapata option ya kuchagua file unalotaka kuattach. Basi mambo mengine utayajua humo humo, its easy dude! Lol.