Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
Checkers elite ni game la draft kwenye simu,ni game zuri sasa hasa online kwa sababu opponent ni wengi sana, wala hauhitaji kusubiri sana.
Shida ni kwamba unapewa energy level kumi kila siku, kila ukifungwa au kudroo wanapunguza energy level moja moja,zikiisha inabidi ununue.
Kero yake ni kwamba ukikimbia au ukipigiwa simu wanakata energy level tatu kwa mkupuo.
Naomba kama kuna mtu anayo cracked au anajua ujanja wa kupata more energy anisaidie, kwa sababu kununua premium complication nyingi.