Wakuu, habari ya wakati huu! Nimeapply formula ya Concatinate nikaweka semi colon kama alama ya kuseparate data ambazo zimekua combined. Yaani =CONCA(A4,";"B4,";",C4,";",D4) Nimefanikiwa ila baadhi ya cell zipo blank nataka cell zilizo blank semi colon isitokee, msaada tafadhali. Maama semi colon inatokea hata kama cell iko blank. Mfano inakua.
Kuku;Bata;Mbuzi;Kondoo
Kuku;;Mbuzi;;
;Bata;;;
Natanguliza shukrani.
Ziko mixed na cell ziko nying ku sort itakua ngumu mkuuKwa nini usi sort kwanza zenye blank zikae zenyewe then formala itumike mpaka pale kwenye full data na bada ya hapo uanze formula nyingine ambayo haina semi colon... fast idea japo naamini ipo zaidi ya hii..