Msaada kwenye desktop tafadhali.!!!!!

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,308
Reaction score
38,526
kila nikijaribu kuweka window inaniletea ujumbe huu....

"The file ohc I1394, sys corrupted"

nimejaribu kubadili hard disk lakini ujumbe unajirudia tu..

kwa anaejua tafadhali.!
 
May be you can try to change bootable CD au Flash.
 
kila nikijaribu kuweka window inaniletea ujumbe huu....

"The file ohc I1394, sys corrupted"

nimejaribu kubadili hard disk lakini ujumbe unajirudia tu..

kwa anaejua tafadhali.!

windows xp sp1 & sp2 ina tabia hiyo sana chukua xp sp3 haisumbui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…