Unazikumbuka setting zako za bios? Mi ningekimbilia huko kwanza kuangalia kama zipo kama zamani,
Pia kumbuka ulifanya nini kabla tatizo halijaanza au ulieka hio adapter, Toa ulichoeka angalia kama tatizo litaendelea.
Na hio adapter ya wifi ulieka drivers zake?