Msaada kwenye dekoda ya mpeg 2 fta

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
317
Reaction score
33
wataalam nisaidie namba za chanel ziruhusu chanel kuhama, hapa kwenye remote control
niki bofya 6 ktk scren inaandika 6 ila haibadili station iliyopo na kuifata statn iliyo ktk namba hiyo. napata taab kushft kutoka 88 kuja 5
 
wataalam nisaidie namba za chanel ziruhusu chanel kuhama, hapa
niki bofya 6 ktk scren inaandika 6 na haibadili kuifata statn iliyo ktk namba hiyo. napata taab kushft kutoka 88 kuja 5

Hujaeleweka mkuu funguka usaidiwe mzee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…