L luha Member Joined Oct 29, 2011 Posts 20 Reaction score 1 Mar 27, 2013 #1 Wakuu msaada nikitaka 2mia nero au ashampoo kuburn inaniambia no compatible cd recorder found
SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Mar 27, 2013 #2 Mkuu hiyo pc unayotumia ni yako au umegongea? Na kama ni ya kugongea hebu mwombe mwenye nayo akufungulie kwa password administrator account au run hizo program as administrator zitafanya tu mkuu
Mkuu hiyo pc unayotumia ni yako au umegongea? Na kama ni ya kugongea hebu mwombe mwenye nayo akufungulie kwa password administrator account au run hizo program as administrator zitafanya tu mkuu
L luha Member Joined Oct 29, 2011 Posts 20 Reaction score 1 Mar 28, 2013 Thread starter #3 Me mgn mkuu ka vp nielekeze fresh cjakusoma