Wandugu nanmbeni msaada nawezaje kupata program ya radio kwenye simu ya blackberry 8900.na je nimtandao gani ni bei rahisi kuingia net katika blackberry asanteni kwa msaada wenu mtakao nipatia