Mkolon Member Joined Jul 15, 2011 Posts 20 Reaction score 3 May 28, 2012 #1 Wakuu,salama Nilitumiwa Blackberry na rafiki yangu yuko USA,nimejaribu kuweka line za hapa bongo bdo inaniambia ni insert Sim Card Nifanyeje niweze kuitumia watalam wa mobile Phone naomba msada wenu.
Wakuu,salama Nilitumiwa Blackberry na rafiki yangu yuko USA,nimejaribu kuweka line za hapa bongo bdo inaniambia ni insert Sim Card Nifanyeje niweze kuitumia watalam wa mobile Phone naomba msada wenu.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,644 Reaction score 7,120 May 28, 2012 #2 Ni model gani? Zipo Blackberry USA ni CDMA only?taja model ili tujue jinsi ya kukusaidia
Mkolon Member Joined Jul 15, 2011 Posts 20 Reaction score 3 May 30, 2012 Thread starter #3 Chipukizi said: Ni model gani? Zipo Blackberry USA ni CDMA only?taja model ili tujue jinsi ya kukusaidia Click to expand... Sawa mkuu,ni BlackBerry 8310 Smartphone(EDGE) kampuni ni at&t USA
Chipukizi said: Ni model gani? Zipo Blackberry USA ni CDMA only?taja model ili tujue jinsi ya kukusaidia Click to expand... Sawa mkuu,ni BlackBerry 8310 Smartphone(EDGE) kampuni ni at&t USA
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,917 May 30, 2012 #4 Mkolon said: Sawa mkuu,ni BlackBerry 8310 Smartphone(EDGE) kampuni ni at&t USA Click to expand... Mimi nilitumiwa kama hiyo na bado inafanya kazi nilimpa mtu, lakini yenyewe ilikuwa unlocked kutoka huko huko kama iko locked then inakuwa ngumu
Mkolon said: Sawa mkuu,ni BlackBerry 8310 Smartphone(EDGE) kampuni ni at&t USA Click to expand... Mimi nilitumiwa kama hiyo na bado inafanya kazi nilimpa mtu, lakini yenyewe ilikuwa unlocked kutoka huko huko kama iko locked then inakuwa ngumu