central midfielder Senior Member Joined Apr 14, 2023 Posts 150 Reaction score 218 Jul 22, 2023 #1 Wakuu kwema? Pole na majukumu ya hapa na pale. Nahitaji msaada wenu. Nlikuwa na account ya Instagram yenye 8K. Na bado ninayo. Lakini nilikaa kimya sana kwa muda mrefu kidogo. Ni account ambayo ipo kimichezo zaidi. Baada ya kurudi hewani bado nna followers wale wale 8K. Na zaidi. Lakini cha ajabu kwa sasa nikipost chochote sipati comment na nikipata like hazizidi 10 (kumi) Tatizo linaweza kuwa nini? Na nini ikifanyike ili account irejee kama awali. Like 700 comment mpaka 120. Msaada kwa anaejua.
Wakuu kwema? Pole na majukumu ya hapa na pale. Nahitaji msaada wenu. Nlikuwa na account ya Instagram yenye 8K. Na bado ninayo. Lakini nilikaa kimya sana kwa muda mrefu kidogo. Ni account ambayo ipo kimichezo zaidi. Baada ya kurudi hewani bado nna followers wale wale 8K. Na zaidi. Lakini cha ajabu kwa sasa nikipost chochote sipati comment na nikipata like hazizidi 10 (kumi) Tatizo linaweza kuwa nini? Na nini ikifanyike ili account irejee kama awali. Like 700 comment mpaka 120. Msaada kwa anaejua.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 19,902 Reaction score 72,984 Jul 22, 2023 #2 Tafuta hela! Ili uache kulilia likes na comments
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,079 Reaction score 117,682 Jul 22, 2023 #3 Followers wako waliacha kufuatilia page yako coz ulikaa kimya,endelea kupost watarudi tu, Hivi likes na comment hua zina faida gani huko?
Followers wako waliacha kufuatilia page yako coz ulikaa kimya,endelea kupost watarudi tu, Hivi likes na comment hua zina faida gani huko?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,687 Reaction score 97,479 Jul 22, 2023 #4 Ni personal account au professional?
central midfielder Senior Member Joined Apr 14, 2023 Posts 150 Reaction score 218 Jul 22, 2023 Thread starter #5 Pro Mad Max said: Ni personal account au professional? Click to expand... kaka