Elfu hamsini tu na unapata ndani ya two weeks. No hongo wala longolongo.
Nenda mwenyewe, chukua fomu, kajaze huko kwako, wape wadhamini wajaze nafasi zao na kusaini ambatanisha chetichako cha kuzaliwa, kama umeajiriwa kwenye taasisi ijulikanayo/rasmi ambatanisha na barua toka kwa mkuu wako na hatimaye peleka Uhamiaji pamoja na cash, ukiziwakilisha utaambiwa ulipe kama ziko ok, utapatiwa risiti halafu Utachukuliwa alama za vidole (nadhani sasa itakuwa digital), picha nk hapohapo uhamiaji. Utapangiwa siku ya kuchukua.