K kidanya Member Apr 16, 2015 78 34 Mar 23, 2016 #1 Nimeitwa kesho kwenye interview ya data clerk, huwa wanauliza maswali gani???? Ni oral interview
S siz Senior Member Jan 26, 2015 135 25 Mar 23, 2016 #2 kidanya said: Nimeitwa kesho kwenye interview ya data clerk, huwa wanauliza maswali gani???? Ni oral interview Click to expand... in kampuni gani hyo boss wew kuwa nondo kwenye accounting packages, erp packages na office
kidanya said: Nimeitwa kesho kwenye interview ya data clerk, huwa wanauliza maswali gani???? Ni oral interview Click to expand... in kampuni gani hyo boss wew kuwa nondo kwenye accounting packages, erp packages na office