Msaada kwa wenye mtindio wa ubongo

Msaada kwa wenye mtindio wa ubongo

Joined
Sep 12, 2013
Posts
18
Reaction score
3
Habari wa ndugu, mtaani kwangu kuna binti mwenye tatizo la utindio wa ubongo Mlezi wake ambaye ni Bibi yake amefanya juhudi mbalimbali ili kuhakikisha kijana wake anapata elimu lakini anaishia kupata changamoto mbalimbali hivyo kwa yeyote mwenye msaada wa wowote hata wa kimawazo atusaidie ili mtoto huyu aweze kupata elimu kulingana na tatizo alilonalo.... Ombi kubwa la mlezi ni kupata ufadhili wa kielimu kwa mjukuu wake maana hali yake kiuchumi sio nzuri.
Aksante
mawasiliano 0769500050
 
ongera ndugu kwa msaada uwo
 
Hapa Moshi kuna kituo kinatoa elimu kwa watoto wenye ulemavu wa jinsi hiyo ila sijui habari zake sana ila najua ni boarding school iko eneo linaloitwa Kibosho road yenyewe inaitwa Gabriella
 
Back
Top Bottom