Anderson John
Member
- Jun 24, 2015
- 44
- 57
habari za mda na wakati huu wana JF. ninaswali ambalo linahusiana na maswala ya ngozi...tatizo la kutokutokwa na jasho huwa linasababishwa na nini au chanzo ni nini?
Kaandika kutokutokwa na jashoUnatokwa na jasho ukifanya nini? Mchana au usiku? Unafanya kazi aina gani?
Fafanua