Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
1.Kama una below course work(16) unapata technical supp.Je hii technical supp ikoje?
2.Incomplete nayo ikoje?
Je kwenye kipengele namba 2 kama hutaruusiwa kufanya mtihani baada ya kupata incomplete nini kinafuata?cc prince hope
UDSM hamna kitu kama icho unachokizungumzaAcheni kudanganya watu. Kama una below 16 inategemea utaratibu wa chuo husika, au faculty au college.
Zingine, unaruhusiwa kufanya UE., Zingine huruhusiwi, maana yake ni carry over. Utasoma kozi hiyo mwakani.
Kama una Incomplete pia itategemea utaratibu wa chuo. Sasa hivi kuna vyuo hawahangaiki, wao wanaangalia maksi ulizo nazo, maisha yanaendelea. Zingine unacary over kama scenario ya hapo juu.
UDSM hamna kitu kama icho unachokizungumza
duu course work 16?? mna raha sana. kuna vyuo bila 20 ue utaisikia redioni
Kuna vyuo A inaanzia 80,na bado A zinakuwa kibao,na utakuta hakuna sup,Pia kuna vyuo vingine MTU anaweza kukeri kozi Hata miaka kumi bila kudisko,kuna vyuo vingine kozi wek ni 30 na bado watu karibu wote wanafikisha,kuna vyuo vingine ukipata incomplete,unakeri vingine unadisko,kuna vyuo vingine wanasoma kozi mpaka 13 kwa semista na wanapata A za kumwaga,waliofika chuo kikuu wanajua koz 13 zinavyofanana kwa chuo,kwa kifupi nirahisi kupata30 koz week kwa baadhi ya vyuo kuliko kupata 16 kwenye vyuo vingine.HUO NDO UKWELI ambao baadhi humu hawataupenda.
mfano mwecau A-80-100, B+ 70-79, B 60-69, C 50-59, D(sup) 40-49, 0-39 carry over
Kuna kachuo x C inaanzia 40 ila ukiipata hyo kitambi kimekwisha semester nzma
UDSM hamna kitu kama icho unachokizungumza
Kiukweli hio mimi naisikiaga tuu vyuo vingine hiyo ya kufikisha 16 sisi chuoni kwetu haipo kwa kweli
Kinacho takiwa ni ww kufikisha wastani wa 50 baada ya kufanya UE watajumlisha assignment + CAT Watapata wastani utafanya Ue watajumlisha wakitafuta wastani uwe umefikisha 50 kama huna hio Sup inakuhusu mwezi wa tisa ww usipo fanya CAT Au Assignment ujue sup inakuhusu ila Ue utaruhusiwa kufanya!
Na kwa sisi hapa Ukipata Sup 3 in one semister una Disco
Mkuu hiyo sio SUA kweli?