Majibu bado sanaaa watu tunaendelea kuapply hadi leomkuu kwa kauli hii inaonekana majibu bado
Mwezi huu kuazia tarehe 15 ,coz deadline ya kuapply ni tarehe 8ok kiongozi mtukumbuke kipindi majibu yatakapokua tayari....ila mkuu tutegemee mwezi wa ngapi?
Nina swali mkuu hivi ukiaplly diploma na bachelor kwa pamoja kuna msala wowote??Mwezi huu kuazia tarehe 15 ,coz deadline ya kuapply ni tarehe 8
kama unasifa za kusomea degree,diploma unataka ya nn!!!Nina swali mkuu hivi ukiaplly diploma na bachelor kwa pamoja kuna msala wowote??
ok kiongozi mtukumbuke kipindi majibu yatakapokua tayari....ila mkuu tutegemee mwezi wa ngapi?
Naona kama kuna competition kubwa aisee kwenye dgree na nina three ya 13kama unasifa za kusomea degree,diploma unataka ya nn!!!
Nacte wanafunga kesho maombi na matokeo ni tarehe 5 OCTOBER 2018 kama nilivyo yaona kwenye Almanc ya NACTEok kiongozi mtukumbuke kipindi majibu yatakapokua tayari....ila mkuu tutegemee mwezi wa ngapi?
la degree hunaNacte appl 2018/2019
group kwa ajili ya kuhabarishana kwa ssi tulioapply diploma mwaka 2018/2019
weka linklipo pia