Msaada: Kwa njozi hii

Io ndoto inamaanisha hali si shwari watu wana vilio vingi..Tuliombee Taifa letu dhidi ya yule jamaa anayelilia kuombewa yeye kila anapotoa hotuba...
 
Punguza kumfikiria mwanaume mwenzako kimahaba kupita kiasi,shauri yako.
 
mmmhhhh......mkojo tena......!!!????
Njozi na mkojo wapi na wapi........!!!!
Unashangaa Njozi na mkojo badala ya kushangaa Uchochezi na mkojowapi na wapi
 
Shukuru Mungu umemuota huyu, yule mwingine hata huu Uzi ungeshakufilia mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuuu keep it up Rudi tena muombe mungu akupe wepes wa kuelewa hiki ukiwazacho yawezekana ikawa hata kwa mtu umtegemea zaid kwa maana ndoto ni fumbo na hakuna ndoto iotwayo na mwanadamu haina maana mkuu kuna jambo aidha kwa EL au kwa nduguzo na umeonyeshwa wew ili upigane juu ya hiyo ndoto usiidharau na wala usiipuuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sawasawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…