Naomba msaada WanaJf kwa mwenye kujua juu ya cm hii HTC Desire A8181 imekuwa na tatizo la jina kujirudiarudia. Mfano. John basi linajirudia kama mara 5 hv n.k. mwenye ufahamu tafadhali knoweledge yako muhimu.
Ktk phonebook majina yanajirudia mfano: john john john john au Zero Zero etc. Vlvl nimegundua tatizo jingine kutoa msj ya kuonyesha cm imejaa ie low on space