goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,021
- 1,268
Tafadhari waungwanwa naombwa mwenye join instructions form ya chuo kikuu Dodoma ya mwaka 2016/17 especially kwa facult ya education
Ahsanteni
Ahsanteni
tarehe 29 but mkuu ipo web yao udom.....afu download kwa cm yako ukaprint
Hakuna Joining instruction ya kozi moja,huwa kuna joining instruction moja tu ya kujiunga na chuo husika kwa kozi zote.Tafadhari waungwanwa naombwa mwenye join instructions form ya chuo kikuu Dodoma ya mwaka 2016/17 especially kwa facult ya education
Ahsanteni
Hakuna Joining instruction ya kozi moja,huwa kuna joining instruction moja tu ya kujiunga na chuo husika kwa kozi zote.
Wewe kama unaitaji joining instruction ya udom basi ingia katika website hii [http://alis.udom.ac.tz/]
Natumai umenipata mkuu!!!
UDOM - ALIS Login