Msaada kwa mliotangulia kujenga

Mleta Mada amefanya kuwe na Majibu tofauti, kwanza hajasema vipimo vya nyumba yake, pili hatutajua mlalo wa kiwanja chake, kama Kiko tambarale au kipo kwenye mwinuko.

Kwahiyo majibu mengi atakayopata hapa yatakuwa ni Makadirio zaidi kuliko Uhalisia.
Kiwanja kipo kwenye tambarale mkuu
 
Tofari 2500 ni nyumba kubwa.Mimi tofari 2700 nilipita vyumba 4,toilets 2,sebule kubwa na jiko.
 
Mleta Mada amefanya kuwe na Majibu tofauti, kwanza hajasema vipimo vya nyumba yake, pili hatutajua mlalo wa kiwanja chake, kama Kiko tambarale au kipo kwenye mwinuko.

Kwahiyo majibu mengi atakayopata hapa yatakuwa ni Makadirio zaidi kuliko Uhalisia.
Ila hayatokuwa mbali na uhalisia.
Kama fundi mbobezi ataangalia urefu wa kitanda ni 6 ft. Kwa uwiano huo atajua urefu wa ukuta.
From there, proportionality kirahisi utajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…