Wadau kunajambo naomba mnisaidie kama kuna ktu ana namba ya Gerald Hando wa clouds fm naomba anisaidie maana kunajambo la kimaendeleo nataka nimpe alifikishe kwa jamii ahsante!

unasema hvyo hujui tu huenda jambo lenyewe likawa na msaada kwako afu namba ninayotaka ata isipokuwa yake personal nataka hata ya ofisi kikubwa jambo langu lifike powerbrkfast.