Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 446
- 232
Wadau kunajambo naomba mnisaidie kama kuna ktu ana namba ya Gerald Hando wa clouds fm naomba anisaidie maana kunajambo la kimaendeleo nataka nimpe alifikishe kwa jamii ahsante!
ama kweli kuna watu yani namba ya mtu iwekwe hadharani jambo la kimaendeleo fikiri sanaWadau kunajambo naomba mnisaidie kama kuna ktu ana namba ya Gerald Hando wa clouds fm naomba anisaidie maana kunajambo la kimaendeleo nataka nimpe alifikishe kwa jamii ahsante!
ama kweli kuna watu yani namba ya mtu iwekwe hadharani jambo la kimaendeleo fikiri sana
piga 119
asante kwa ukarim wako