Msaada kwa hii simu yangu wakuu

Msaada kwa hii simu yangu wakuu

Mbulu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
5,619
Reaction score
5,518
Kuna jamaa nlimwachia simu na hivi ndivyo nilivyoikuta naombeni msaada wenu
20170117_111222.jpeg
 
upo serious kweli na unachotaka kusaidiwa? nikitu gani hapo kinakuchanganya?
 
Iyo inaitwa frp,ukitaka unga wifi hapo ingiza gmail ya mwenye cm itafunguka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom