Msaada kwa hii samsung galaxy S4

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,503
Reaction score
2,277
Ghafla tu katika kuichezea nikaiharibu, Tatizo lake alama ya nyota na reli ndio hazibonyezeki yani hazifanyi kazi! Ila uki-press moja kwa moja katika kila alama nyota na reli hutokea alama ya P na kwa nyota na reli hubadili profile tu mf. silent, nisaidieni wana JF jinsi ya kufanya.

NB: Nilijaribu kui-restore reli na nyota zikafanya kazi, but after 2 min zikagoma tena.

Msaada tafadhali!
 

Mkuu kwa asilimia 70 hiyo kitu itakuwa copy...
Mwaka jana nilitumiaga copy ya note 3.. Hilo tatizo lilinikuta mara nyingi sana....

"Try kudownload dialer nyingine playstore.. "
 
Samsung galaxy s4 originali ikiwaka inaandika 19515 kama haiandiki hio ni copy yake
 
Samsung galaxy s4 originali ikiwaka inaandika 19515 kama haiandiki hio ni copy yake

Mkuuu kuna zingine zinaandika kabisa hivo bt. Try to restore uone muujiza wake..... Haiandika tena hivo wala ile logo ya samsung haionekani while inawaka,, that b*tch media tek ndo anaanza display kwenye screen... Disgusting....
 
Mkuu kuigundua kama ni original nifanyaje?

download app inaitwa cpu Z ipo playstore kisha install then ifungue kisha simply we angalia processor tu kama utaona mtk au neno mediatek ujue copy hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…