comrade JR
Member
- May 24, 2018
- 15
- 5
wanajamvi Heshima kwemu wote. Kulingana na changamoto za ajira
Naomba ambae anaweza kuwa na connection ya kazi anisaidie kwa pale atakapo GUSWA. Elimu yangu ni degree ya sheria, uzoefu miaka miwili kama legal officer trainee. qualification hiyo isiwe kikwazo cha kupata fursa nyingine nje ya field yang. Kwani saiv ulichokisomea sio lazima ukifanyie kazi hivyo nkiwa trained nafanya chochote. kikubwa ni kutokua jobless.. Nadhan wote tunaelewa changamoto zlivyo.. Kwa atakaeguswa kunisaidia. Nipo daresalaam, namba yang ni 0759657178. Mungu awabariki.. Nawasilisha