Msaada kwa anayepafamu vizuri Congo drc

sir venance

Senior Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
151
Reaction score
226
Wakuu natarajia kwenda Congo drc siku chache zijazo kwa shughuli binafsi,nahitaji kujua changamoto zake japo kwa ufupi tu.Asante
 
Kuwa makin sana kule kuna matapeli kuliko wa kkoo...

Wakijua ww ni mgen tena from tz police wanatabia ya usumbufu hakikisha unakuwa na passpot...

Kule kuna watoto machokoraaa haswaaaaa yan ni wabish balaaaaa ukijaribu kupambana nao izo fujoh zitakazo tokea hapo acha tuuu mbaya zaid police hawana mpango nao

Mim huwa naenda na 113 / 320
Wataalam wa mambo washanielewa hapo
 
Asante kwa kutujulisha kuwa unakwenda Congo. Mimi sijawahi kufika huko ukirudi utupe uzoefu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…