jabarijoka
Member
- Jul 5, 2020
- 23
- 20
[emoji120][emoji120][emoji120]Nyashinski - Mungu Pekee
Hahahaha acha kumpeleka maboyaNyashinski - Mungu Pekee
😀 Castr saidia jahazi lisizame.Hahahaha acha kumpeleka maboya
Jibu ni hiliUtawala - Juliani ft Wakenya
kuna wimbo ulioimbwa na msanii kutoka Kenya unaongelea mafisadi
Kiitikio chake ni
"Sitasimama maovu yakitawala"
[emoji120][emoji120] Nisaidieni jina la nyimbo iyo na jina la msanii
Nautafuta sana
[emoji120][emoji120]