naombeni msaada jamani kwa wale wataalamu wa IT, msaada wa kuhack gmail au facebook password/account
naombeni kwani ninahitaji sana account yangu ina matatizo imehackiwa

mmh sema tu ukweli kwamba wewe ndo unataka kuhack na sio account yako imehakiwa,kuna uhusiano gani kati ya kujuzwa jinsi ya kuhack na acount yako kuhackiwa?:confused2: