Habari wanaJF, kuna hii kampuni ambayo ni mawakala wa Toshiba, Dell na Hp wako Upanga UN road, jengo la Swiss tower. Kuna jamaa yangu kanishauri niwapelekee PC yangu ili itibiwe matatizo yake nilihitaji kwa mtu mwenye uelewa wa hii kampuni anielezee uhakika wa huduma zao.