John mungo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2013 Posts 1,009 Reaction score 1,030 Feb 11, 2014 #1 Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali.
Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali.
Sanoyet JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 1,323 Reaction score 296 Feb 11, 2014 #2 mi sijui vilipo!
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,438 Feb 11, 2014 #3 John mungo said: Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali. Click to expand... VETA wanayo course inaitwa AGROMECHANICS, nenda kaonane nao!
John mungo said: Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali. Click to expand... VETA wanayo course inaitwa AGROMECHANICS, nenda kaonane nao!
SHOOyaKIBABE JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,718 Feb 11, 2014 #4 Nenda Bandari College
B billy jean New Member Joined Jan 11, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Feb 11, 2014 #5 Nenda Tandika chuo cha bandari
M Msingi_Mbio JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 336 Reaction score 44 Feb 11, 2014 #6 Kuna jamaa yangu anatafuta chuo cha driving bajaji kwa dar ? Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Kuna jamaa yangu anatafuta chuo cha driving bajaji kwa dar ? Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,201 Feb 11, 2014 #7 Kajiunge na makampuni ya ujenzi ya barabara mpaka ujenzi ukiisha ushajua kila kitu.
malamsha shao JF-Expert Member Joined Sep 23, 2012 Posts 233 Reaction score 100 Feb 11, 2014 #8 John mungo said: Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali. Click to expand... nenda (ATC) Asha Technical collage kuna hiyo kozi na kuna jamaa yangu kaxoma pale.
John mungo said: Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali. Click to expand... nenda (ATC) Asha Technical collage kuna hiyo kozi na kuna jamaa yangu kaxoma pale.