heshima yenu wakuu,mimi natumia simu ya tecno t551,sasa tatizo ni kwamba nimetumia MMS na rafiki yangu nimeshindwa kuifungua.vodacom wemenipa hi https//mymms.vodacom.co.tz.
nimejaribu kuifungua imekata naomba anaejua kuwezesha mms kwenye hi simu anisaidie.
nawasirisha