Upo sahihi hatua ya kwanza ndiyo hiyo ila anatakiwa apate acess ya net via wifi au hotspot ndiyo aanze kusign in.Kabla ya kufanya factory reset sign in kwanza kwenye account yako ya google au playstore!......over!!
Mkuu ina maana internet ya kawaida ya hizi line za simu haifai?Upo sahihi hatua ya kwanza ndiyo hiyo ila anatakiwa apate acess ya net via wifi au hotspot ndiyo aanze kusign in.
Simu yenyewe ukiweka line hafungui net mpaka uwe na simu nyingine ya kuilisha kupitia wirelessMkuu ina maana internet ya kawaida ya hizi line za simu haifai?
FRP zimatoka kirahisi tu Boss!!mbona haina lock hiyo
hapo inaonyesha ina FRP(Factory Reset protection) ni kama vile i cloud kwa iphone Na kubypass hiyo FRP ni kimbembe kidogo inategemea na simu
jaribu kugoogle au kucheki video youtube
how to remove/bypass FRP ukiandika na aina ya simu yako
ukishindwa mtafute fundi wa software akusaidie
najua zinatoka hata mm nimeshawahi kubypass kadhaa hasa za samsung j series sema kwa asiyejua ni kimbembeFRP zimatoka kirahisi tu Boss!!
Tayari nimeshatoa simu Kama hiyo na Grand prime zaidi ya 3 pamoja na Tecno Spark K9.
Siwezi kuweka maujanja hapa maana wengine huwa wanakwapua simu za watu then wanakuja hapa kuomba msaada wa kuzifungua
Hii simu samsung galaxy s7 edge alieinunua baada ya kuereset i.egoma kwenda mbele inaishia hapa. Msaada namna ya kuiunlock
Simu yenyewe ukiweka line hafungui net mpaka uwe na simu nyingine ambayo utaifanya kuwa hotspotMkuu ina maana internet ya kawaida ya hizi line za simu haifai?
Ni *#*# 4636#*#*Weka line kwenye hio Simu
Piga Simu hio yenye lock
Ikiita bonyeza add new call
Itatokea sehemu ya kuandika namba Lisha andika *#*#4636*#*#
Itatokea menu ya test
Chagua bettrey information Au usage statistic itakapofunguka bonyeza mshale wa back itakupeleka kwenye menu ya setting kisha shuka mpk factor uifactoriz itakuwa Pw