teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
wana jf naomba msaada wa kuunganisha simu yangu, niliponunua simu hii nimeikuta ikiwa na opera 4 ambayo naitumia kuingia kwenye mtandao, ss shida niliyonayo ni pale ninapotaka kudownload kitu inaniambia ni stop java application option ni yes au no nikikubali inastop java na inakuja ile symbol ya google inaanza kuserch kwa muda mrefu kisha inaleta msg "connection failed" na unakuwa ndo mwisho kifupi siwezi kud load, msaada please.
browser ya cm yangu ukiachilia mbali opera haiwezi kuconnect nayo inahitaji manually configuration ambayo sina utaalamu nayo hivyo naomba msaada kwa anaejua
jaribu opera 6. Download kwenye computer kisha hamishia kwenye simu via usb. Opera 6.5 inaweza ku download yenyewe bila kupitia native browser
i still need help cm yangu haiwezi kuinstall program yoyote hata hiyo opera6