Wadau mu hali gani?
Naombeni msaada nimejaribu kutumia live cd ya ubuntu version 9.04 kwenye laptop hp pavilion dv5-2155dx yenye specification hizi
processor intel i3 ram 4 gb graphics by intel imekubali kuload kila kitu mpaka mwisho ila unapofungua application yoyote kwa kuright-click ili upate pop up menu inayokuwezesha either kucopy au kudelete kitu inakuwa hairespond chochote/option hazitokei ila ukidouble click kama ni folder linafunguka.
Wadau je hii inatokana na nini na je nifanyaje ili niweze kuitumia kama kawaida.....
Nashukuru mkuu je hio synaptic pand ntaipataje????
K tk kujaribu nimegundua nikitumia external mouse inafanya kazi vizuri ila kwa kutumia touck pad patupu
una synaptic pad? kama unayo hio ni bug ya ubuntu. Chukua latest ubuntu, halaafu inabidi uchague moja kama ni synaptic touch pad

2-finger scroll au right click na drag!

Nashukuru mkuu je hio synaptic pand ntaipataje????
K tk kujaribu nimegundua nikitumia external mouse inafanya kazi vizuri ila kwa kutumia touch pad patupu