Msaada: Kutuma Picha kwenye Facebook Chat

tovuti

Senior Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
160
Reaction score
12
Wana Jf ....

Hivi wakati nachat kwenye facebook, vipi naweza kumtumia mtu picha(photo attachment) na akaipata katika kibox cha kuchat?

Thanx in advance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ